katika Sirrah tunaona jins gani Uislam ulitawala Madina chini ya Mwenyewe Mtume Swalallahu Alayhi Wasalaam. Kisha wakafata Makhalifa waongofu na baadae dola ya Kiislam ikaenea maeneo kadhaa. Hukumullah haiwezi kusimama bila kudhibiti Dola. Hivyo Siasa ni sehem ya dini isipokuwa hizi siasa chafu zilizo chini ya Sheria za Wanaadam zinazohalalishaHaram na Kuharamisha Halali hazikubaliki na Uislam. Waislam wanatakiwa wasimamishe Hukumu ya Allah si kuwa chini ya makufar
By Abdulswamadu M Ally
No comments:
Post a Comment