Thursday, May 30, 2013

matokeo yaliyotangazwa leo baada ya mchakachuo mkali, tofauti ni 9% tu.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
    
TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE)  ILIYOFANYIKA OKTOBA 2012





1.0          UTANGULIZI

MtihaniwaKidatochaNne, 2012ulifanyikanchinikotekuanziatarehe8/10-25/10/2012. Baraza la Mitihani la Tanzaniakatikakikaochakecha 94 kilichofanyikatarehe 30 Mei, 2013 liliidhinishamatokeo haya





2.0          USAJILI NA MAHUDHURIO

Jumlayavituo5,058vilitumikakatikakufanyamtihanihuoikilinganishwa na vituo4,795vilivyotumikamwaka 2011.



2.1          TaarifazaWatahiniwa



Jumlayawatahiniwa480,029  walisajiliwakufanyaMtihaniwaKidatochaNne 2012 wakiwemowasichana217,587sawa na asilimia45.33 na wavulana262,442sawa na asilimia54.67.WatahiniwawaliofanyamtihaniwaKidatochaNne 2012  ni 458,139sawa na asilimia95.44.Watahiniwa21,890 sawa na asilimia4.56yawatahiniwawotewaliosajiliwa, hawakufanyamtihani.


2.2          WatahiniwawaShule

Watahiniwawashulewaliosajiliwa ni  411,225 wakiwemowasichana182,982sawa na asilimia44.50 na wavulana228,243sawa na asilimia55.50.Watahiniwawashulewaliofanyamtihaniwalikuwa397,138sawa na asilimia96.57. Aidha, watahiniwa14,087sawa na asilimia3.43 hawakufanyamtihanikutokana na sababumbalimbalizikiwemoutoro, ugonjwa na vifo.



2.3          WatahiniwawaKujitegemea

Watahiniwawakujitegemeawaliosajiliwawalikuwa ni 68,804wakiwemowasichana34,605 sawa na asilimia50.30 na wavulana34,199sawa na asilimia49.70.Watahiniwa61,001wakiwemowasichana 30,918 nawavulana 30,083  wamefanyamtihaniwakatiwatahiniwa7,803sawa na asilimia 11.34 hawakufanyamtihani.





3.0          MATOKEO YA MTIHANI



3.1          Maandaliziyamatokeo

MatokeoyaMtihaniwaKidatochaNnemwaka 2012 yalitangazwatarehe 18 Februari 2013 na kufutwaMachi 2013 kutokana na sababuzakitaalamukatikamatumiziyataratibuzakuchakatamatokeo. MatokeoyaliyofutwayalikuwayamechakatwakwakutumiautaratibuwaFixed Grade Ranges. MatokeoyanayotangazwasasayamechakatwakwautaratibuhuohuolakiniyamefanyiwaStandalization.

Kimataifakunaainakuumbilizakuchakatamatokeoyamtihani : Flexible ‘Grade Ranges na Fixed Grade Ranges’.

‘Flexible Grade Ranges’ hutumiaviwangotofautikuchakatamatokeoyawatahiniwakwakuzingatiakiwangochaufauluchasomohusikakwakilamwaka. Hivyoviwangovyakuchakatamatokeohubadilikakilamwakakulingana na ufauluwawatahiniwakwakilasomohusika.

Katikamfumowa ‘Fixed Grade Ranges’ viwangovyaainamojahutumikakuchakatamatokeokwamasomoyote bila kujalikiwangochakufaulukwasomohusika. Viwangovyakuchakatamatokeohutumikahivyohivyokilamwaka bila mabadiliko.

KwamiakamingiBaraza la Mitihani la Tanzanialimekuwalikitumiamfumowa ‘Flexible Grade Ranges’. Mwaka 2012, mfumowa ‘Fixed Grade Ranges’ ulitumikakuchakatamatokeokwamaraya kwanza

Mabadilikohayoyalitokana na maoniyawadauyaliyotokana na utafitiuliofanywa na Wizaramwaka 2010 kufuatiakushukakwaufauluwamtihaniwaKidatochaNnemwakahuo. Pia kwakuzingatiamaelekezoyaTumemaalumiliyochunguzadosarizilizojitokezakwenyematokeoyamtihaniwaKidatocha Sita mwaka 2012 katikasomo la IslamicKnowledge.



3.2 MatokeoyaWatahiniwawaShule

Jumlayawatahiniwawashule159,609katiyawatahiniwa397,138

waliofanyaMtihaniwaKidato cha Nne 2012 wamefaulu. Wasichanawalikuwani60,751nawavulanawalikuwani98,858.





3.3 MatokeoyaWatahiniwawaKujitegemea



Idadiyawatahiniwawakujitegemeawaliofaulumtihanini26,191katiyawatahiniwa61,001 waliofanyamtihani.Wasichanawaliofauluni11,581nawavulanani14,910.



4.0          UBORA WA UFAULU KWA MADARAJA NA JINSI



Uborawaufaulukwakuangaliamadarajawaliyopatawatahiniwawashuleunaoneshakuwajumlayawatahiniwa35,349wamefaulukatikamadaraja I – IIIambapokatiyaowasichanani10,924 nawavulanani24,425.



 MchanganuowaufaulukwakiladarajakwajinsikwaWatahiniwawaShulemwaka 2012 nikamaifuatavyo:




Wavulana
Wasichana
Jumla
Idadi
Asilimia
Idadi
Asilimia
Idadi
Asilimia
I
2,179
1.07
1,063
0.64
3,242
0.88
II
7,267
3.58
3,088
1.85
10,355
2.8
III
14,979
7.37
6,773
4.05
21,752
5.87
I-III
24,425
12.02
10,924
6.54
35,349
9.55
IV
74,433
36.65
49,827
29.78
124,260
33.54
I-IV
98,968
48.66
60,779
36.30
159,747
43.08
0
104,259
51.33
106,587
53.7
210,846
56.92





5.0      SHULE KUMI BORA NA SHULE KUMI ZA MWISHO



Uborawashuleumepangwakwakutumiakigezo cha “Grade Point Average” (GPA) kuanzia A = 1 na F = 5.  Shulezimegawanywakatikamakundimawilikulingananaidadiyawatahiniwakamaifuatavyo:

(i)            Shulezenyewatahiniwa40 na zaidi  (Jumlani 3,396)

(ii)           Shulezenyewatahiniwapungufuya 40 (Jumlani  753).



5.1     Shule Kumi bora katikakundi la shulezenyewatahiniwa 40 na zaidi



Shulezifuatazozimepangwakwakuanzanaya kwanza hadiyakumikatikakundi la shulezenyewatahiniwa40nazaidi.





NAFASI
JINA LA SHULE
IDADI
MKOA
RANK
CENTRE NAME
REGISTERED
REGION
1
ST. FRANCIS GIRLS  S  S
90
MBEYA
2
MARIAN BOYS'  S S
75
PWANI
3
FEZA BOYS' S S
69
DAR ES SALAAM
4
MARIAN GIRLS S  S
88
PWANI
5
CANOSSA S S
66
DAR ES SALAAM
6
FEZA GIRLS' S S
50
DAR ES SALAAM
7
ROSMINI S S
78
TANGA
8
ANWARITE GIRLS  S S
49
KILIMANJARO
9
ST. MARY'S MAZINDE JUU S S
83
TANGA
10
JUDE MOSHONO SS
51
ARUSHA





5.2     ShuleKumizamwishozenyewatahiniwa 40 nazaidi



Shulezifuatazozimepangwakwakuanzanaya kwanza hadiyakumikutokamwisho.

NAFASI
JINA LA SHULE
IDADI
MKOA
1
MIBUYUNI  S  S
40
LINDI
2
MAMNDIMKONGO S  S
63
PWANI
3
CHITEKETE  S  S
57
MTWARA
4
KIKALE   S  S
60
PWANI
5
ZIRAI   S S
41
TANGA
6
MATANDA SECONDARY SCHOOL
53
LINDI
7
KWAMNDOLWA   S  S
89
TANGA
8
CHUNO   S.  S
143
MTWARA
9
MBEMBALEO S  S
56
MTWARA
10
MAENDELEO S  S
103
DAR ES SALAAM



5.3          ShuleKumi bora katikakundi la shulezenyewatahiniwachiniya 40



Shulezifuatazozimepangwakwakuanzanaya kwanza hadiyakumikatikakundi la shulezenyewatahiniwa 40 nazaidi.



NAFASI
JINA LA SHULE
IDADI
MKOA
1
THOMAS MORE MACHRINA SS  S
20
DAR ES SALAAM
2
QUEEN OF APOSTLES-USHIROMBO SEMINARY
24
SHINYANGA
3
BETHELSABS GIRLS   S  S
33
IRINGA
4
PRECIOUS BLOOD   S  S
34
ARUSHA
5
MAUA SEMINARY
31
KILIMANJARO
6
ST. MARY'S JUNIOR SEMINARY
28
PWANI
7
CARMEL  S    S
36
MOROGORO
8
SANU SEMINARY
37
MANYARA
9
BROOKEBOND  S  S
27
IRINGA
10
ST.CAROLUS SECONDARY   S  S
37
SINGIDA






5.4     Shulekumi (10) zamwishozenyewatahiniwachiniya 40



Shulezifuatazozimepangwakwakuanzanaya kwanza hadiyakumikutokamwisho.

NAFASI
JINA LA SHULE
IDADI
MKOA
1
DODEANI TECH.    S  S
10
PEMBA
2
KALAMBA    S  S
11
DODOMA
3
HURUI    S   S
12
DODOMA
4
USUNGA    S   S
13
TABORA
5
MANDWANGA    S  S
13
LINDI
6
BETTY MITCHEL  S   S
17
MOROGORO
7
CHONGOLEANI   S  S
17
TANGA
8
MMULUNGA   S   S
17
MTWARA
9
NYUAT    S   S
20
ARUSHA
10
MWAKIJEMBE    S   S
13
TANGA





6.0.      HITIMISHO

KuanziasasamatokeoyamithaniyakidatochaNne na Sita yatachakatwakwakutumiaFixed Grade Range na Standardisation. Natoawitokwawadauwotewaelimukutoaushirikianotuwezekuboreshaelimunchini.

No comments:

Post a Comment