WAHITIMU wa kidato cha sita mwaka 2013 waliofaulu wanatakiwa wachukue mafunzo ya kijeshi katika jeshi la Kuenga Taifa JKT ndipo wajiunge na vyuo vya elimu ya juu ikiwa ni sheria mpya ya wamu ya pili
Zaidi ya wanafunzi 10,849 waliohitimu kidato cha sita mwaka huu wanatarajia kujiunga na mafunzo hayo Juni 24, mwaka huu katika makambi waliyopangiwa
Katika sheria hiyo inatakiwa wanafunzi wote waliohitimu kidato hicho wanatakiwa kuripoti katikia vituo kinyume na hapo watachukuliwa hatua za kisheria.
Wanafunzi hao watapata mafunzo hayo kwa muda wa miezi mitatu katika kambi za tofauti nchinin ikiwemo ile ya Ruvu-Pwani, Maramba-Tanga, Mgambo Kabuku-Tanga , Bulombora-Kigoma, Kanembwa-Kibondo-Kigoma,
Ile . Zinginen I Mlale Songea-Ruvuma, Msange-Tabora, n aile ya Rwamkoma-Musoma Mara.
Mafunzo hayo hayatawahusu wahitimu wale wa visiwani Zanzibar kwani wao walishachukua mafunzo hayo awamu ya kwanza
Hata hivyo mafunzo wanafunzi hao watachukua kwa awamu katika shule zilizochaguliwa
No comments:
Post a Comment