Monday, April 22, 2013

TANZANIA, nchi ya 25 kati ya nchi maskini duniani. africa mashariki ni ya nne !

katika hali inayoonesha kuimarika kwa hali ya ucumi nchini tanzania imeendela kusifiwa baada ya kufanikiwa
kuufuta umaskini kwa kasi ya kustaajabisha. tunakumbuka kuwa mwaka 2000 tanzania ilikuwa kati ya nchi kumi zaidi ulimwenguni. kwa africa mashariki tanzania ni ya pili kwa nguvu ya kiuchumi. ni baada ya kenya pekee. kwa nchi za africa tanzania imeendelea kufanya vizuri. #UJASIRI wetu ni muhimu katika kukuza uchumi wa jamii yetu.




 nafasinchi maskini zaidi dunianiGDP ya nchi mpaka tar 22/08/2012
1Congo$347.45
2Zimbabwe$349.61
3Burundi
$407.73
4Liberia$440.66
5Somalia$631.87
6Niger$687.02
7Central African Republic$788.00
8Eritrea$795.20
9Sierra Leone$820.04
10Malawi$906.65
11Afghanistan$949.00
12Togo$983.25
13Mozambique$989.88
14Madagascar$1,000.77
15Nepal$1,013.43
16Ethiopia$1,057.45
17Guinea$1,061.91
18Haiti$1,108.55
19Mali$1,136.27
20Rwanda$1,137.06
21Guinea-Bissau$1,167.66
22Burkina Faso$1,275.19
23Uganda$1,311.32
24Bangladesh$1,384.53
25Tanzania$1,440.68


No comments:

Post a Comment