Monday, April 29, 2013

waislamu 52. wafanya makubwa gerezani.wasema watalisafisha gereza kiimani.

wakipanda karandinga kuelekea mageraza.
# wawasilimisha watu wanane. waanzisha ibada ya swala gerezani.
# wakiri kifungo chao si adhabu, ila ni ibada.
# jopo la kuwahudumia laundwa nchi nzima.
# jeshi la magereza lawatawanya sehemu tofauti nchini,

Wafungwa hao wamesilimu baada ya kukutana nawafungwa Waislamuwalioingia kifungoni baadaya kuhukumiwa kutokana nakesi ya maandamano.Hayo yamefahamikakutokana na taarifa iliyotolewana Amir wa Kamati iliyoundwakuhudumiwa wafungwa hao pamoja na familia zao.Akiongea na nasi,Amir wa Kamati hiyo Ust.Baiya S. Buiya amesemakuwa, katika ziara yake katikagereza la Bagamoyo alipataushirikiano mzuri kutoka kwaWaislamu wa Mji huo ambaoaliambatanao kufika katikagereza hilo na kuwajulia haliwenzao.Alisema, kwa ujumlaWaislamu hao walioMagerezani wamekuwawakihitaji Misahafu,
Juzuuna vitabu vywa swala namaarisho yake na vinginevyenye mafundisho yaUislamu kwa ujumla.Alisema, kwa Waislamuwa gereza la Bagamoyo,wameweza kuanzishautaratibu wa ibada gerezanihumo ambao awali ilikuwangumu, ambapo katika gerezala Kimbiji, Waislamu haowameshasilimisha wafungwaWakristo nane, na wameombawapatiwe vitabu zaidi kwaajili ya Da’awa.Kwa upande mwingine,Waislamu nchini wametakiwakutoa ushiriakiano wa halina mali kwa kamati yakuhudumia Waislamu 52,waliofungwa mwaka mmoja jela pamoja na familia zaowalizozicha.Wito huo umetolewa nauongozi wa Shura ya Maimam(T), baada ya Shura hiyokuunda kamati maalum April14, 2013, ya kuwahudumia

wafungwa wa kesi ya maandamano, kufuati kikaokilichowakutanisha Maimamkutoka Misikiti mbalimbali yaJijini Dar es Salaam.Taarifa hiyo iliyosainiwa naAmir wa Shura ya Maimam,Sheikh Mussa Y. Kundecha,ilisema Shura imeunda kamatiya watu sita, ambao watakuwana jukumu la kukusanyamichango Misikitini na kwaWaislamu mbalimbali.“Hivyo naitambulishakwako kamati hii ili muwezekutoa ushirikiano wa hali namali kwa ajili ya kuwahudumiaWaislamu 52 wa maandamanowaliopo magerezani.”Ilisema sehemu ya baruaya kuitambulisha kamati hiyokwa Waislamu.Akiongea na nasi, Amir wa Kamati hiyo Ust. BaiyaS. Buiya, alisema jukumukubwa la kamati hiyo nikuwatembelea ndugu zaoWaislamu waliohukumiwakifungo cha mwaka mmojahivi karibuni, kujua matatizoyao sambamba na kuwa karibuna familia zao.Buiya alisema Muuminiwa kweli atakaye baki katikaimani yake sawasawa lazimaakutane na mambo matatu,aliyataja mambo hayo kuwani kufungwa kwa ajili ya Allah(s.w), ambapo huyo atakuwahajapata hasara, kwa sababuatakuwa ametekeleza sunnaya Nabii Yusuph.Ust. Buiya, alisema jambola pili ni kufukuzwa katika nchi yake kwa ajili ya Dini yake na huyo naye yakimfikahayo atakuwa hajapatahasara kwake kwani atakuwakatekeleza Hijra MtumeMuhammad (s.a.w).Lakini kubwa lingine Ust.Buiya, alisema Muumini huyo pia ategemee kuuwawa kwaajili ya Allah au Uislamu, nayeatakuwa hana hasara kwa nia takuwa kafa Shaheed.Ust. Buiya, alisema ikiwa. Muumini huyo kafikwa namoja kati ya kadhia hizo, basi ni jukumu la Waislamuwaliobaki kuziangalia familiazao kama zipo, kwa hali namali.“Ndiyo maana Shura yaMaimam nchini imeonaupo umuhimu wa kuundakamati hii ili kuzunguka kwaWaislamu wote walioguswana kadhia hii wawezekuchangia kwa ajili ya haowalio magerezani na familiawalizoziacha.” Alisema Ust.Buiya.Aidha, Ust. Buiya, alisemakwamba mbali ya jukumu hilokamati pia imepewa jukumu la kuzungukia Magereza yotematano ambayo Waislamuhao wametawanywa baadaya hukumu hiyo ya mwaka mmoja kujua hali kwa ujumla.Alisema, mpaka sasamara tu baada ya kuteuliwawamesha wafikia Waislamuhao wote 52, waliofungwa katika magereza yote waliyotawanywa ambayo aliyataja Magereza hayo na idadi yao katika mabano kuwani Gereza la Ukonga, JijiniDar es salaam (3), Gereza laMvuti Dondwe (13), Gerezala Bagamoyo (10), Gereza laMng’aru Kibiti, Bimani (20),yaliyopo Mkoa wa Pwani.
sehemu ya bango kama linavyosomeka katika moja ya mikutano ya waislamu mapema mwaka jana.

Pamoja na Gereza la Kimbiji,Kigamboni (6), Jijini Dar esSalaam.Akielezea hali zao kwaujumla, Amiri wa Kamati hiyo, alisema kwa ujumla hali zao ni nzuri ukiachilia maradhi ya kawaida ambayo miongoni mwao waliingianayo, lakini alidai wanapatamatibabu chini ya uangaliziwa Magereza.Amir Buiya alisemaWaislamu wajitolee kuwasaidia ndugu zao waliopo Magerezani pamojana familia zao, kwani Shura haina vyanzo vya mapato zaidi ya Waumini wao kupitia Misikiti yao.Alisema, kamati hiyo pia imeweka utaratibu wakukutana na familia hizo 52,katika siku maalum kwaajili ya kuangalia namna yakuweza kutatua baadhi yamatatizo, husasani masuala yachakula, ada kwa watoto wao pamoja na kodi za nyumba.Hivi karibuni Mahakamaya Hakimu Mkazi Kisutu,iliwahukumu Waislamu 52,kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kuandamana bila kibali, ambapo waislamu hao wametawanywa katikaMagereza mbalimbali katika mikoa ya Dar es salaam na Pwani


No comments:

Post a Comment