kibali
chakutibiwa Sheikh IlungaHassan Kapungu ambayeamelazwa katika
hospitaliya
Columbia Asia Hospital-Bangalore, India.
Kibali
kinachohitajikani kwa ajili ya kufanyiwaupasuaji wa kuwekewa figo(kidney
transplantation) baada ya Sheikh Ilunga kupatamatatizo ya figo kushindwakufanya
kazi ambayokitaalamu hutwa- ‘chronicrenal failure’.Taarifa kutoka kwa nduguna
jamaa zinafahamisha kuwaSheikh Ilunga alilazwa katikahospitali ya Columbia
AsiaHospital- Bangalore, tokamwezi wa Februari mwakahuu 2013.Hata hivyo pamoja
nataratibu zote za kupata nyarakana vibali vyote husika ikiwa ni pamoja na kile
cha Serikali yaTanzania,
yaani, No ObjectionCertificate (NOC ), badoSerikali ya
India haijatoa Visaya Matibabu ambayo ndiyoitawezesha hospitali kufanyamatibabu
ya kuweka figo.Habari za kiutafitizinaonyesha kuwa Ubaloziwa Tanzania (Tanzania
HighCommission) uliopo NewDelhi, umesaidia sana katika jambo hili ikiwa ni
pamojana kutoa kwa haraka na kwawakati ruhusa iliyohitajiwa naSerikali ya
India.Pamoja na kuwa hospitalihusika imekuwa ikitoahuduma nyingine za afyakwa
Sheikh Ilunga kwakiwango cha hali ya juu tokaamefika hospitalini hapo,
hatahivyo, kutokana na sheria zakimataifa juu ya upandikizajiwa viungo, kama
hili la figo,hairuhusiwi kufanya matibabuhayo bila ya kibali maalumu.Hiyo ni
kutokana nakuwepo kwa biashara haramuya viungo duniani na hivyokuwekwa sheria
kali ilikudhibiti biashara hiyo.Habari kutoka hospitaliniBangalore
zinafahamishakuwa tayari taratibu zoteza kitabibu na malipozishakamilika ikiwa
ni pamojana kuwepo mtu wa kutoafigo, ambaye ni dada yakeSheikh Ilunga ambapo
vipimovya kitaalamu vinaonyeshakuwa viungo vyao vinawiana,havina tatizo.Habari
za kiuchunguzi zagazeti hili zinaonesha kuwakutokana na hitajio la SheikhIlunga
kupatiwa matibabuya haraka kulingana na afyayake inavyobadilika kilauchao,
uongozi wa hospitali(Columbia Asia Hospital-Bangalore) ulimweka Ilungakatika
orodha ya wagonjwawa kupewa kipaumbele katikamatibabu husika toka katikatiya
mwezi uliopita wa Aprili.
Kutokana
na hali hiyo,madaktari wake wanaomtibiakatika hospitali hiyo waliandikataarifa
maalum ikielezea haliya ugonjwa wake na hitajio lakufanyiwa matibabu
harakawakitaraji kuwa vyombohusika vitaharakisha kutoakibali husika. Naye mkuu
wa jopo lamadaktari wake Dr. RavindranT. Jumapili iliyopita tarehe 20Mei, 2013
alitoa taarifa yakitabibu akionyesha umuhimuwa mgonjwa Ilunga HassanKapungu
kupatiwa matibabu(Renal replacement therapy)haraka.
No comments:
Post a Comment