WAISLAMU Jijini Dar esSalaam wamesema kwambasilaha kubwa ya mtualiyedhulumiwa hapa duniani,ni
kumuelekea Mungu wakekwa dua.
Ni katika moja ya mahudhurio ya itcaf inayoendelea usiku na mchana katika misikiti mingi hapa jijini. |
wanachokifanyaWaislamu hivi sasa kwakumshitakia MwenyeziMungu kufuatia madhila yotewanayofanyiwa”. AlisemaSheikh huyo.Aliongeza kuwa vitendovya dhulma na unyanyasajiwanavyofanyiwa WaislamuTanzania bara na Zanzibar vimekithiri kiasi cha kuwafanyamuda wote wawe katika hofu yakukamatwa.Alisema kwa jinsi hali ilivyosasa huko Visiwani, linapotokeatatizo lolote katika jamii, watuhunyooshewa kidole kuwa niUamsho. Naye Katibu wa Msikiti waMtambani Sheikh AbdallahMohammed Ally, alisemaJumuiya na Taasisi za Kiislamukwa kushirikiana na Shura yaMaimam, wataendelea na zoezila dua kumuomba MwenyeziMungu.Sheikh Abdallah alisemaWaislamu wameamua kuendeleana utaratibu huu, baada yakuona dhulma dhidi yao inazidikuongezeka siku baada yasiku, kama ilivyo sasa ambapotayari Waislamu wamefungwa,Masheikh wamekamatwa nawengine kunyimwa dhamanakinyume cha sheria.Alifafanua kwambaWaislamu wameshatumia njianyingi za kufikisha madai yaoSerikalini, lakini hakuna majibuwala wa kuwasikiliza kwa dhatina kuyatafutia ufumbuzi madaihayo zaidi ya kuonekana kuwani wakorofi.“Tulichoamua sasa nikumuelekea Mwenyezi Mungu,aliye hakimu muadilifu,huenda Allah (s.w) akaleta.
kheri zake kupitia kwa hao haowanaotupuuza, hilo ndio lengola mikusanyiko ya Itikaf nadua zinazoendelea hivi sasa”.Alisema Sheikh Abdallah.Hata hivyo Sheikh Abdallah alitahadharisha kuwa, Waislamuwasieleweke vibaya kama inavyoripotiwa na baadhi yavyombo vya habari, kwambawanawasomea viongoziAlbadiri au dua ili wafe, baliwanamuomba Allah (s.w) kwakila yule anayeufanyia madhilaUislamu na Waislamu, basi(Mwenyezi Mungu) atajuahukumu yake hapa duniani naakhera.Alisema viongozo waUamsho hadi sasa wapo kizuizini.
kwani wamenyimwa dhamana,Sheikh Ponda, Mselemu, ImamHamza wa Mwanza na Sheikhmmoja Tanga nao dhamanazao zimezuiwa, lakini pia kunaharakati za kumkamata SheikhHassan Ilunga wa Mwanza.Alisema kwa jinsi hali ilivyona kwa kusikia kauli zinavyozidikutolewa, inaonekana hatari kwaMasheikh wengi na Waislamukuzidi kukamatwa. Hata hivyohazisikiki kauli za kutafutwaau kukamatwa na kufikishwamahakamani Maaskofu ambaowanatoa matamko makaliyenye uchochezi na kuhatarishaamani.Sheikh Abdallah alisematangu kuanza ibada za Itiqaf
Jijini na mikoani, kuna mwangakwa watu kuweweseka.Alidai kuwa ukiona mtuanaanza kuzungumza wakatihuko nyuma alikuwa kimya, niwazi Allah ameanza kutia hofukatika nyoyo zao.Kwa upande wake Katibumsaidizi wa Shura ya Maimam,mkoani Mtwara, Ustadhi Simba,alisema kutokana na madhilana matatizo wanayoyapataWaislamu humu nchini na hukuwakipuuzwa huku Serikaliikiegemea upande wa imaninyingine, suluhu iliyobakini kumshitakia MwenyeziMungu.Alisema Waislamu katikanchi hii wamejengewa desturina serikali yao kuwa si watu wa kusikilizwa kwa maana kwamba, jamii ya Waislamu nchini niwatu wa kupuuzwa kwa kilakitu tofauti na jamii ya wenginewasiokuwa Waislamu.“Tumezungumza sana,tumepeleka malalamikoyetu kwa maandishi katikasehemu husika lakini bado piatumeandamana, tunapuuzwana kuonekana wakorofi, sasawasubiri majibu ya dua zetu.”Alisema Ust. Simba.
No comments:
Post a Comment