Wanawake mapacha wa nchini Uholanzi wameamua kuachana na biashara ya ukahaba ambayo waliyokuwa
wakiifanya kwa muda wa miaka 50 sasa,
Louise na Martine Fokkerns (70) wazee hao wameamua kuacha biashara ya ukahaba baada ya kulala na wanaume 355,000.
Wanawake hao mapacha walikuwa wakifanya biashara hiyo ya ukahaba katika mji mkuu wa Amsterdam, Louise ambaye ni mama wa watoto wa nne, alisema kwamba amekuwa akisumbulia na mumivu mwilini hali ambayo inamfanya ajisikie maumivu makali katika viungo vyake vya siri anapofanya ngono.
Na Martine, ambaye ana watoto watatu, yeye kwa upande wake amekiri kuwa anaona ni vigumu kwa sasa kuwavutia wanaume kutokana na umri wake, ingawa bado mtu mmoja mzee anampitia kila wiki, lakini hayupo tayari kumpa na badala yake anakwenda kanisani jumapili.
Makahaba hao mwaka jana walionekana kwenye documentary iliyofahamikwa kwa jina la “ kutana na Fokkens, na kwa upande wao wameandika kitabu kinachoitwa ‘The Ladies of Amsterdam’, Wote wanavaa mavazi ya rangi nyekundu ambayo yenye kufanana, na walianza umalaya wakiwa chini ya umri wa miaka 20, kabla ya kuhalalishwa ukahaba Uholanzi mwaka 2000.
No comments:
Post a Comment