Shirika la upelelezi la Marekani limetoa baadhi ya Orodha hizo za watu 10 wanaotafutwa sana,ingawa baadhi ya Picha hizo haziwezi kuwa zenyewa watu wanaohusishwa,kwani bado hawajawahi kuonekana kwenye vyombo vya habari vya kimataifa.
Katika Orodha hiyo wa Kwanza ni Kiongzoi shupavu wa Tandimul-qaida Dr. Ayman Al Dawahir ambae kichwa chake kama ilivyodai ripoti hiyo ina dhamani ya Dola za Kimarekani milioni 25.
Wengine ni Pamoja na :-
Kiongozi wa Al-qaida katika Rasi au Tawai la Uarabuni Sheikh Nasir Al Huweysh .
-Na Mtu waliyemtaja kuwa Ibrahim Al Asiir ndie mtaalamu wa Kuunda na kutengeneza Mabomu hatari katika Nchi ya Yemen au Mujahidina wa Yemen.
-Kiongozi mkuu wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Mukhtaar Abdurrahman Abu Zubeyr ambae kichwa chake ina dhaman ya dola za Kimarekani Milioni 7 kama ilivyodai ripoti ya wizara ya Ulinzi wa Marekani.
-Kiongozi wa Al-qaida katika Biladul Maghrib Al Islamiah Mukhtaar Bal Haji ambae wamesema Kichwa chake kina dhamani ya Dola za Kimarekani milioni 5.
-Kiongozi wa Jabhat Al Nusra Al Islamiah Sheikh Mohamed Jowlani nchini Syria.
-Kiongozi mkuu wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam Sheikh Abu Bakar Al Baghdadi ambae ilisema ripoti ya Washington kuwa kichwa chake kina dhamani ya Dola za Kimarekani Milioni 10.
Kiongozi wa Shirika la Haqani ambae iko chini ya Imaratul Islamiah ya Afghanistaan ambae nae wamesema anadhamni ya Dola za Kimarekani Milioni 5.
-Kiongozi Mkuu wa Wapiaganji wa Nigeria Ahlu Sunna Lida'watu Wal Qitaal Sheikh Abu Bakar Shekow ambae wametangaza dau ya Dola za Kimarekani Milioni 7.
-Kiongozi wa Mujahidna wa Nchi ya Shiishan/Chechnia Sheikh Doko Camarov nae ana dau ya Dola za Kimarekani milioni 5.
Huu ni uongo wa CIA wa kutaka dunia iwaogope waislam na kuwaona kuwa ni watu hatari sana katika ulimwengu huu. Kwa fedha hizi zilizotangazwa hawa watu wangekuwa tayari walishapatikana kwani si fedha kidogo kama tunavyodhani. Tukumbuke wapo watu hatari duniani wameleta maafa makubwa mbona hawatafutwi? tuchukue mfano wa watenezaji wa silaha za phosphorus katika nchi ya Israel ambazo zimeua watoto wengi wa Kiparestina. Mbona wapo na wanafahamika vizuri lakini hawatangaziwi dau la kuwakamata?
ReplyDelete