Thursday, February 21, 2013

USIKUBALI KAMWE KUWA WATUMWA WA MALI.!

Alhamdulilah, leo vijana wenzangu tujaribu kupitia haya mawaidha na naswaha za ndugu yetu katika imaan. al akhy anwar awlaki ,huyu ni mzaliwa wa marekani ambaye baadae alimua kuanza kufanya daawa ili kuwakomboa wanadamu na ugonjwa huu mbaya wakuiabudu mali na na kuwa mtumwa wa dunia. madhara ya kuiabudu dunia na fedha na pale  allah aachwa kuabudiwa mengi yamekwishatukuta na ameyataja. ishallah allah atuwafikishe ikufikieni swadaka hii na kwa reha zake allah ajalie muwe niwenye kunufaika na mawaidha haya adhimu kwa dunia hii. ameen

No comments:

Post a Comment