Two undercover white reporters, one a Muslim in traditional dress, travelled across the city to inquire about 40 jobs being advertised in shop windows.
Monday, October 28, 2013
Saturday, October 26, 2013
wakuu wa shule zaidi 1,703 hawana sifa za mkuu wa shule.
Wakati Serikali ikiendelea kuikalia ripoti ya Tume ya Kuchunguza Matokeo ya Kidato cha Nne iliyoundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mapema mwaka huu, baadhi ya wajumbe wake wameanika madudu mengi yaliyobainika katika uchunguzi huo.
Friday, October 25, 2013
mkongo wa taifa waaanza kuwanufaisha watanzania
Zaidi ya Sh41.4 bilioni zimepatikana kutokana na malipo ya huduma za Mkongo wa Taifa (NICTBB), ambapo hadi Agosti mwaka huu, kampuni 16 zikiwamo 9 za nje zimeunganishwa kwenye mtandao huo imara kwa mawasiliano.
Mkuu wa gereza Keko matatani tena
MKUU wa Gereza la Mahabusu Keko, Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP), Mbwana Senashida, anadaiwa kuchukua sh milioni 14 za Mfuko wa Maafa wa Wafanyakazi wa gereza hilo na kufanyia biashara zake.
Tuesday, October 22, 2013
wizara kujikamua mikopo ya wanafunzi 1,107.
msajili wa mahakama kuu kenya atimuliwa kazi
Msajili Mkuu wa Mahakama ya Kenya, Gladys Shollei amefukuzwa kazi kwa madai ya utovu wa nidhamu na kuwadharau makamishna wa Tume inayosimamia idara hiyo (JSC).
kesi ya #SIMCARD_TAX yawekwa kiporo tena!
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana ilishindwa kusikiliza maombi ya zuio la muda la kodi ya simu, yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Chama cha Kutetea Walaji Tanzania (TCAS).
TCAS kiliwasilisha maombi hayo mahakamani hapo kikiomba mahakama itoe amri ya kuzuia kwa muda utekelezaji wa kodi ya simu, kusubiri usikilizwaji na hukumu ya kesi yao ya msingi ya kikatiba waliyoifungua mahakamani.
Maombi hayo ya zuio la muda yalitarajiwa kusikilizwa jana na jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu, linaloongozwa na Jaji Aloyisius Mujuluzi akisaidiana na Jaji Lawrence Kaduri na Jaji Salvatory Bongole.
TCAS kiliwasilisha maombi hayo mahakamani hapo kikiomba mahakama itoe amri ya kuzuia kwa muda utekelezaji wa kodi ya simu, kusubiri usikilizwaji na hukumu ya kesi yao ya msingi ya kikatiba waliyoifungua mahakamani.
Maombi hayo ya zuio la muda yalitarajiwa kusikilizwa jana na jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu, linaloongozwa na Jaji Aloyisius Mujuluzi akisaidiana na Jaji Lawrence Kaduri na Jaji Salvatory Bongole.
Friday, October 18, 2013
Benki zapewa bilioni 16 kwa mikopo ya nyumba
KAMPUNI mahususi ya Kutafuta Fedha na Kutoa Mikopo ya Muda Mrefu ya Nyumba ya Tanzania Mortgage Refinance Company Limited (TMRC ), imeziwezesha benki nne wanachama wake, Sh bilioni 16.45 kwa ajili ya mikopo ya nyumba tangu ilipoanzishwa. Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya alisema hadi kufikia sasa benki nne ambazo ni wanachama zimenufaika na mkopo huo.
Alizitaja benki hizo kuwa ni Azania Bank , Bank of Africa (BOA), Benki ya Exim na DCB Commercial Bank.
Kampuni hiyo imelenga kuhakikisha benki hizo ambazo pia ni wanahisa kwenye taasisi hiyo zinanufaika na mikopo rahisi kwa vile ina dhamira iliyolenga katika kuwakomboa wananchi kujenga na kumiliki nyumba nzuri kwa gharama nafuu.
Alizitaja benki hizo kuwa ni Azania Bank , Bank of Africa (BOA), Benki ya Exim na DCB Commercial Bank.
Kampuni hiyo imelenga kuhakikisha benki hizo ambazo pia ni wanahisa kwenye taasisi hiyo zinanufaika na mikopo rahisi kwa vile ina dhamira iliyolenga katika kuwakomboa wananchi kujenga na kumiliki nyumba nzuri kwa gharama nafuu.
ICC: Kenyatta sasa ruhsa ilakwa masharti haya
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita (ICC) hii leo imetoa masharti kwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuhusu kuhudhuria vikao vya kesi dhidi yake katika mahakama hiyo kuanzia Novemba 12 mwaka huu.
westgate yaendelea kuitesa kamati ya usalama,kenya
Miili miwili iliyoungua vibaya aliyoopolewa katika eneo la kituo cha biashara cha Westgate nchini Kenya siku ya Alhamisi inawezekana kwa kiasi kikubwa ikawa ni ya magaidi walioshambulia kituo hicho,
SAUDIA yakataa kiti baraza la usalama la UN,
Serikali ya Saudi Arabia imekataa nafasi iliyopewa na baraza la usalama la umoja wa mataifa kuwa mwanachama asiye wa kudumu, huku ikituhumu baraza hilo kwa mapendeleo.
Wednesday, October 16, 2013
Dk Joyce Ndalichako aondoka NECTA
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Nchini (Necta),Dk Joyce Ndalichako, ameanza likizo ya mwaka mmoja kwa kile kilichoelezwa kuwa anafanya utafiti juu ya uendeshaji wa mitihani nchini.
FATWA:waislamu syria kula paka, mbwa sasa ruhsa.
Kikundi cha viongozi wa dini nchini Syria kimetoa Fatwa inayowaruhusu watu wanaoishi katika vitongoji vya mji mkuu Damscus vinavyokumbwa na vita kula nyama ambayo kwa kawaida huwa imeharamishwa
Tuesday, October 15, 2013
MKUTANO WA JK NA VYAMA VYA SIASA WAMALIZIKA IKULU.
MKUTANO kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni umemalizika Ikulu, Dar Es Salaam, muda mfupi uliopita leo, Jumanne, Oktoba 15, 2013
Msajili wa Al Shabaab atua mahakamani
Mwanamume anayeshukiwa kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab amefikishwa mahakamani nchini Kenya kwa tuhuma za kuwasajili vijana wa Kenya kujiunga na kundi hilo nchini Somalia.
Subscribe to:
Posts (Atom)

